Kampuni za Sheria Zinapoteza Pesa Kila Mwezi — Kwa Sababu Website Zao Hazifanyi Kazi.
Hii si “website ya mapambo”. Hii ni mfumo wa kazi wa 24/7 unaobadilisha website yako uliyonayo kuwa
mpokeaji wa wateja, msimamizi wa kesi, mratibu wa nyaraka,
na mtumaji wa SMS/Email updates.
Kwa kifupi: Website yako inapaswa kufanya kazi hizi
Kupokea wateja bila wewe kushika simu
Kuchukua taarifa kwa utaratibu (intake)
Kupanga kesi kwa hatua (case stages)
Kutuma updates kwa SMS/Email bila kelele
Kupunguza makosa ya binadamu na kupotea kwa wateja
Ninabadilisha website ya mwanasheria iwe mfumo wa kazi unaopunguza simu, makosa, wafanyakazi wa ziada,
na gharama za tools nyingi kila mwezi.
Kama leo website yako ipo tu…
basi unalipa gharama za “ofisi” kila mwezi, lakini unakosa faida ya “mfumo” unaojiendesha.
Rafiki Mwanasheria, je unajikuta hapa?
Simu zinaita bila mpangilio
WhatsApp zimejaa maswali yale yale
Wateja wanakuja halafu wanapotea kwa sababu hukuwahi kuwahudumia kwa wakati
Kesi zinafuatiliwa kwa kumbukumbu au Excel
Mwisho wa mwezi mapato hayaeleweki yalipotokea
Na umejaribu kila kitu:
Kuajiri watu wa kupokea simu
Kuongeza uwepo mtandaoni
Kuweka “website ya kisasa”
Kutumia software tofauti tofauti za nje
Na bado:
kazi inaongezeka, stress inaongezeka — lakini mapato hayasogei sawasawa.
Hii ndio “pesa inayovuja kimya kimya” kwa law firm nyingi
Unapotumia tools nyingi (drafting, documents, bookings, e-sign, excel processes, CRM ndogo ndogo),
mara nyingi ni $50–$100+ kila tool kwa mwezi.
Makadirio ya haraka:
Ukilipa hata $1,000 kwa mwaka kwenye tools zisizo “office system” (na bado ukalipa wafanyakazi),
ndani ya miaka 25 ni zaidi ya $25,000 (bila kuhesabu kupanda kwa bei, mishahara, na makosa).
Tatizo si tools. Tatizo ni kwamba hazijaunganishwa kwenye website yako ili website ihudumie wateja na ofisi.
Uthibitisho: Mfumo halisi unaotumika (Adv. Fadhili)
Video hizi zinaonyesha mfumo unavyofanya kazi kwa upande wa client na admin.
Ni implementation ya mteja halisi.
Unaweza pia kuangalia mfano wa website ilivyobadilika kuwa mfumo: